Mkuu wa Mkoa wa Mbeya afanya ziara ya kushitukiza hospitali ya wazazi ya Meta iliyo chini ya hospitali rufaa kanda
Amekuta Kero ya msongamano ya wagonjwa na lugha chafu ya baadhi ya way hizi kwa wagonjwa
Ametoa siku 7 kwa uongozi wa
hospitali hiyo kumchukulia hatua Kali muuguzi aliyemtolea lugha chafu bi
Salome swaya aliyejifungua tarehe. Katika
kushughulikia hilo amemtaka mkurugenzi wa hospitali hiyo, matron, patron
na mjumbe mmoja toka ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mbeya kulichunguza
tuhuma hizo ili kupata upande wa pili kwasababu muuguzi aliyetuhumiwa
leo hakuwepo
Amewaomba wauguzi na madaktari kuzingatia maadili ya kazi katika kutekeleza majukumu yao
Kuhusu
ujenzi wa wodi ya wazazi Mkuu wa Mkoa anafuatilia wizara ya Afya
dhamana ya mkopo toka hazina kwa ajili ya kupata Fedha ambazo hospitali
ilishaomba kinachosubiriwa ni dhamana













0 comments:
Post a Comment