Miezi
kadhaa iliyopita liliibuka gumzo kubwa mtandaoni kati ya Timu Wema na
Timu Zari kuhusu nani kati ya Wema Sepetu na Zarinah Hassan ‘Zari’ ana
wowowo kubwa.
Katika
mjadala huo kila upande ulikuwa ukivutia kwake huku mara nyingi Timu
Zari wakitumia ile picha aliyopiga Zari na Diamond (Zari kavaa gauni
jekundu na Diamond kavaa suti nyeusi) ambapo Timu Wema wao walikuwa
wakirusha tu vijembe kuwa, Wema wao hajaladii ila Zari kajaladia kwenye
picha hiyo
Aidha,
katika siku za hivi karibuni, Wema aliamua kumjibu Zari kwa kupiga
picha iliyo kwenye pozi kama lile la Zari na Diamond huku Wema na jamaa
yake huyo aliyedaiwa kuwa ni msanii wakiwa wamevaa nguo kama zile
walizovaa Zari na Diamond (angalia picha ukurasa wa kwanza).
Kuanzia hapo ikawa mpambano ni kati ya picha hizo mbili ambazo wadau mbalimbali wamekuwa wakizitupia kwa pamoja.
Hata
hivyo, mpaka sasa hakuna upande unaoonekana kuibuka na ushindi hivyo
swali la kwamba ni nani kati ya wawili hao ana kalio kubwa jibu
halijapatikana.
Chanzo:GPL


0 comments:
Post a Comment