Headline
za Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi
ilitangaza kuwafukuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa Walimu unaoendelea hivi sasa zimeendelea kuchukua nafasi Bungeni Dodoma.
Asubuhi ya
May 30 2016 Baadhi ya Wabunge kutoka vyama tofauti walisimama Bungeni
kuomba suala hilo kujadiliwa lakini ombi hilo halilikubalika mbele ya
Naibu Spika Tulia Akson. Baada ya kipindi cha pili kurudi mjadala ukakataliwa kwa mara nyingine.
Nakukutanisha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema). Freeman Mbowe akiongea na Waandishi wa habari.


0 comments:
Post a Comment