https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    VIDEO: VURUGU ZILIVYOTOKEA BUNGENI NA KUSABABISHA BUNGE KUAHIRISHWA

    Naibu Spika Tulia Ackson ameahirisha Bunge baada ya wabunge wa upinzani kugoma kukataliwa kujadiliwa kwa hoja yao ya kufukuzwa kwa wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma
    Wabunge waupinzani walileta hoja hiyo mezani wakitaka kujua hatma ya wanafunzi waliofukuzwa chuo kikuu Dodoma (UDOM) na kutakiwa kurudi makwao. Lakini inaelezwa kuwa hoja hiyo ilizuiliwa kujadiliwa ndipo ikapelekea mvutano uliosababisha kuahirishwa kwa Bunge.
    Tetesi zinaeleza kuwa, wanafunzi hao waliofukuzwa chuoni hapo wamegeuka kuwa makahaba wengine wakidai kuwa wanatafuta nauli za kurudi makwao kwani hawakua na fedha za kurudia nyumbani.
    Video: Vurugu Bungeni leo Mei 30.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: VIDEO: VURUGU ZILIVYOTOKEA BUNGENI NA KUSABABISHA BUNGE KUAHIRISHWA Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top