Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah amekutana na  Wadau wa Habari kutoka Jukwaa la Wahariri, TMF, Sikika, Baraza la Habari Tanzania, Jukwaa la Katiba na TAMWA katika ofisi yake Mjini Dodoma.
a1
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akizungumza na wadau wa Habari kutoka Jukwaa laWahariri, TMF, Sikika, Baraza la Habari Tanzania, Jukwaa la Katiba na TAMWA.
a3
Katibu wa Jukwaa la Wahariri Bw Nevelle Meena akizungumza wakati wa Mkutano kati yaKatibu wa Bunge na wadau wa Habari.
c
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah akimsikiliza Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Bw DeusKibamba wakati alipokutana na wadau wa Habari Ofisini kwake.