Home > News > Wanafunzi Chuo Kikuu UDSM Wagoma..Kisa Hichi Hapa News Wanafunzi Chuo Kikuu UDSM Wagoma..Kisa Hichi Hapa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) leo wamegoma wakiishinikiza Bodi ya Mikopo(HESLB) kuwapatia fedha zao za kujikimu.Kwa kawaida wanafunzi hupewa fedha za kujikimu kila baada ya miezi miwili 21:12:00 News
0 comments:
Post a Comment