https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    BEN POL NA CHEGE WATEMBELEA WATOTO WENYE MATATIZO YA KUPINDA MIGUU KATIKA HOSPITAL YA CCBRT

    Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, ‘Chege Chigunda’ na Ben Pol wakishuhudia Daktari wa Watoto, Prosper Alute akimhudumia mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja katika hospitali ya CCBRT, mtoto huyo alizaliwa na maradhi ya kupinda miguu ambayo yanatibika. Matibabu hayo hufadhiliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.
    Benpol akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kuwaona watoto wenye matatizo ya kupinda miguu wanaofadhiliwa na Tigo kwa matibabu yao katika Hospital ya CCBRT pembeni yake ni Chege Chigunda



    Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, ‘Chege Chigunda’ na Ben Pol wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo na Hospital ya CCBRT mara baada ya kuwaona watoto wenye matatizo ya kupinda miguu wanaofadhiliwa na Tigo 

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BEN POL NA CHEGE WATEMBELEA WATOTO WENYE MATATIZO YA KUPINDA MIGUU KATIKA HOSPITAL YA CCBRT Rating: 5 Reviewed By: Anonymous
    Scroll to Top