Rais John Magufuli amemteua Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustine Mrema kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya PAROLE Tanzania.
Prof. William R. Mahalu, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi
ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.
0 comments:
Post a Comment