Ajali mbaya ya Basi na gari ndogo, dereva aponea chupuchupu
Wasamaria wema wakimnasua dereva wa gari dogo
Ajali hii imehusisha basi la abiria la Meridiani pamoja na gari ndogo
binafsi.Dereva wa gari binafsi amenusurika kifo baada ya gari yake
kuharibika vibaya.