https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Japan yaanza kutumia treni ya kasi zaidi kupita chini ya bahari

    Japan wamefungua mradi wao mpya wa treni ya kasi zaidi (Bullet train) unaopita chini ya bahari (Seikan Tunnel) na kuunganisha sehemu kaskazini ya kisiwa chake cha Hokkaido. Kwa hivi sasa kisiwa hicho kimeunganiswa na jiji la Tokyo na treni ya kasi zaidi. Mradi huo umegharibu takribani dola za kimarekani bilioni tano ($5 billion).

    Kutoka Tokyo hadi Hokkaido kwa treni hii inachukua dakika 53 ikiwa inachukua dakika 90 kusafiri kutoka Tokyo hadi mji wa Shin-Hakodate ulioko Hokkaido inachukua dakika 90, ukijumla muda wa ukaguzi wa kiusalama yaweza chukua zaidi ya masaa 3. kwasasa kuna ushindani kati ya usafiri huo na ndege.

    Seikan Tunnel ni njia kubwa kuliko zote za chini ya bahari inaurefu wa mile 33.4 (53.8 km). 


    [​IMG]
    Japan Bullet Train, picha kwa hisani ya Reuters

    [​IMG]
    Ramani kwa hisani ya WSJ
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Japan yaanza kutumia treni ya kasi zaidi kupita chini ya bahari Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top