Home > Untagged SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA JKT RUVU TAIFA SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA JKT RUVU TAIFA Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16.Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha kwanza na kipindi cha pili. 18:29:00