https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Hizi ndio sababu za Ex-girlfriend wa Ballotelli kumtema mchizi


    bal
    Mara baada ya Kumuacha mchumba wake kumekuwa na maswali mengi kwenye social medias na blogs tofauti kuhusu Mario Ballotelli kuachana na chumba wake huyo…Mpenzi wake huyo ambae ni
    mwana mitindo wa Ubelgiji ameamua kufunguka rasmi kilicho mpelekea sababu za kuachana na kwanini imekuwa hivyo.Mario-Balotelli
     Alipo ulizwa na chombo cha habari cha nchini Italy sababu za kumuacha striker huyo wa Liverpool na Italy alisema.
     “Ballotelli hakuwa tayari kumsikiliza ninacho kitaka kwani amekua akinikataza hata kutokea kwenye baadhi ya picha,na si hivyo tu,hata kwenye kazi zangu anajaribu kuniwekea uzio jambo ambalo mi nmeshindwa na nimeamua kurudisha pete hiyo ya uchumba kwake,japo niliumia lakini sina budi”alisema Fanny
     ‘He didn’t want to see me in photo-shoots or singing and dancing, I tried to explain to him that I had a career as well. But he just wouldn’t listen. Looking back maybe I was a bit too hasty.’ I should have taken a bit more time and thought about it before I accepted his proposal. He was a hard head and couldn’t accept I wanted my own career path as well. ‘In the end I returned the engagement ring to him. He was upset but we have both moved on now.’


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Hizi ndio sababu za Ex-girlfriend wa Ballotelli kumtema mchizi Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top