Papa Francis amewashutumu wale wote wanaoshindwa kuwasaidia wahamiaji, wakati wa hotuba yake ya kawaida kila Pasaka Jijini Roma.
Amesema wahamiaji wamekuwa wakikataliwa na watu ambao walipaswa kuwakaribisha na kuwasaidia.
Papa Francis pia ameshutumu vitendo vya kigaidi kuwa ni ukatili, unaopaswa kupigana nao kwa kutumia silaha ya upendo.
0 comments:
Post a Comment