February 8, 2015 Los Angeles Marekani kutakuwa na tukio la utoaji wa Tuzo za Grammy,
mastaa kibao wametajwa kuwania tuzo hizo, yako mengine mapya leo
nashare na wewe.Rapper mkongwe
Marekani, LL Cool J ametajwa kuwa ndiye
MC wa shughuli hiyo mwanzo mwisho.Jipya lingine ninalokusogezea ni
kwamba ile list ya watakaofanya show siku hiyo imeongezeka, Pharell
Williams, Sam Smith, Usher Raymond, Madonna, John Legend,Ariana Grande
na Miranda Pharrell Williams

