https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    KWANINI PETER CROUCH NDIYE MCHEZAJI MKUBWA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA DUNIANI?

    Peter-Crouch
    Ronaldo?
    Messi?  Mpeni mtu huyu tuzo ya Ballon D’Or
    Uzuri wa takwimu ni kwamba: ni ngumu kupingana nazo. Maoni yanaweza kuchekwa. Namba haziwezi kuchekwa.
    Utasema nini kama tutakwambia  kuwa tuna ushahidi wa kisayansi, kitakwimu unaothibitisha kuwa Peter Crouch ana rekodi nzuri ya ligi kuu England kuliko  Dennis Bergkamp na Cristiano Ronaldo?
    Hakuna maana, kweli? Mshambuliaji huyo wa Stoke City hawezi kuwa bora zaidi ya wachezaji wakubwa wawili waliowahi kutokea katika ligi ya England, ni kweli?
    Sio kweli. Angalia takwimu hizi hapa:
    Magoli ya ligi kuu England
    92
    Peter Crouch
    87
    Dennis Bergkamp
    85
    Fernando Torres
    84
    Cristiano Ronaldo
     

    Pasi za mwisho ligi kuu

    53
    Peter Crouch
    49
    Dennis Bergkamp
    46
    Cristiano Ronaldo
    45
    Paul Scholes
     
     
    Vitu vya kijinga. Lakini majedwali haya ni moja ya sababu nyingi kuwa Crouchie angekuwepo katika kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa dunia, Ballon D’Or wiki hii.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KWANINI PETER CROUCH NDIYE MCHEZAJI MKUBWA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA DUNIANI? Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top