Siku za hivi karibuni umezuka mtindo miongoni mwajamii ya
kuweka kipaumbele cha kupiga picha za pale inapotokea ajali ,kwaajili ya kutuma
kwenye mitandao ya kijamiii baadala ya kuokoa
uhai wa binadamu kwanza.
Siku za hivi karibu sio jambo la ajabu kabla ya majeruhi au
marehemu kufikishwa hospital picha zake zikkawa zimesambaa kwenye mitandao ya
kijamii. Ifike mahali tuseme uhai kwanza

