Makachero wa kitengo maalum cha Global Publishers cha Operesheni
Fichua Maovu (OFM) walifanya uchunguzi na kugundua kuwa zipo saluni
nyingi jijini Dar zinazojishughulisha na biashara ya massage (kuchua)
lakini ndani yake wahudumu wanajiuza hadi miili ambapo wateja wakubwa ni
waume za watu na vigogo serikalini.
Moja ya vitanda vinavyotumiwa kwa ajili ya biashara ya ngono kwa wateja wanaofika katika saluni hiyo.
Baada ya kuwakuta katika hali hiyo, kiongozi wa askari hao, (jina kapuni) aliwauliza kama hiyo ndiyo biashara ya masaji waliyopata kibali cha kuifanya, lakini wakabakia kujiumauma pasipo kutoa jibu la kueleweka.
Binti huyo wa Kisomali, ghafla aliibuka na kuanza kuomba msamaha kwa kitendo hicho, akidai maisha magumu wanayoishi, ndiyo yanayosababisha waifanye biashara hiyo.
KUMBE ANA MTOTO
Lakini la kushangaza zaidi, ni pale mwanamke huyo alipodai kuwa nyumbani alikotoka, ambako ameolewa, pia alimuacha mwanaye mwenye umri wa miezi minne.
“Nisameheni jamani, mimi ni mke wa mtu na isitoshe nimeacha kichanga nyumbani, ni shida tu ndiyo imenileta hapa,” alisikika akiomba mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Salma.
Mwanaume aliyekutwa naye, alipoulizwa biashara hiyo inafanyika kwa bei gani, alisema makubaliano yake na mwanamke huyo, ni kutoa kiasi cha shilingi elfu sitini kwa tendo moja!
OFM iliondoka eneo hilo baada ya askari hao kuwapakiza katika karandinga wanawake wanne na wanaume wawili tayari kwa safari ya kituoni kwa ajili ya hatua zaidi za kisheria.
TUKIO BICHI
Hivi karibuni OFM walipokea simu kutoka kwa mmoja wa wanawake aliyedai kuchoshwa na shughuli
zinazofanyika katika saluni moja ya kuchua
(massage, jina linahifadhiwa kwa sasa) iliyopo katika eneo la
Kinondoni-Morocco, Dar.Hivi karibuni OFM walipokea simu kutoka kwa mmoja wa wanawake aliyedai kuchoshwa na shughuli
“Jamani nipo hapa nje, nimemfuatilia mume
wangu, maana kila siku nasikia huwa anaonekana hapa, hii ni saluni ya
kuchua, lakini humo ndani wale wahudumu ni makahaba, wanajiuza tena
wanafanyia humohumo ndani, naombeni mje, nataka kufumania,” chanzo chetu
kiliongea kwa hasira na uchungu.
...Huyu hapa ndio mhudumu mwenyewe.
OFM MZIGONI
Kama ilivyo kawaida ya OFM kutodharau wito wowote unaohusiana na uvunjaji wa maadili, uonevu na uhalifu, kikosi kilipangwa harakaharaka na kwa kutumia pikipiki ziendazo kasi, zikafika eneo la tukio katika muda muafaka, kwani difenda la polisi, nayo ilionekana ikiingia eneo hilo kuitikia wito wa raia wema.

KABAAAH!
Ndani ya saluni hiyo, OFM ilishuhudia mhudumu wa mapokezi ambaye baada ya kuonyeshwa vitambulisho vya askari wa Jeshi la Polisi, alinywea na kuwaruhusu kupekua chumba kimoja baada ya kingine, ili kujionea kama kweli nyumba hiyo ilikuwa ikijihusisha na masuala ya saluni ya uchuaji pekee na siyo vinginevyo.

Katika chumba cha kwanza, askari hao
walimkuta mwanaume mmoja akiwa uchi wa nyama, lakini mwanamke aliyekuwa
naye akiwa amevaa nguo zake, kitu kilichoashiria kuwa tayari ‘mchezo
ulishafanyika’.
Katika hali isiyotarajiwa, baada ya kupitia vyumba vingine vinne na kuvikuta tupu, kilichofuata, OFM walishuhudia mwanamke mwenye asili ya Kisomali akiwa uchi na mwanaume wake, dalili zote zikionyesha kuwa walikuwa wakijiandaa kufanya uzinzi.
WAZINZI WAJITETEAKatika hali isiyotarajiwa, baada ya kupitia vyumba vingine vinne na kuvikuta tupu, kilichofuata, OFM walishuhudia mwanamke mwenye asili ya Kisomali akiwa uchi na mwanaume wake, dalili zote zikionyesha kuwa walikuwa wakijiandaa kufanya uzinzi.