https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Real Madrid Matajiri wa Kutupwa Kwa Miaka Kumi Mfululizo


    Klabu ya  Real Madrid ya nchini Hispania    imeendelea kuongoza katika  nafasi ya kwanza  kwa mwaka wa 10 mfululizo kwa kuingiza kipato kwa mujibu  wa   Deloitte football ambao wanaorodhesha vilabu tajiri barani ulaya.

    Klabu ya  Manchester United imepanda hadi nafasi ya pili kutoka nafasi ya nne baada ya kuwa na mapato mazuri katika msimu wa    2013-14
    Kwa ujumla  mapato ya vilabu 20 tajiri yamepanda kwa asilimia 14 na kufikia thamani ya euro bilioni 6.2
    Hata hivyo takwimu hiyo imezingatia mapato ya klabu bila kujumuisha madeni ya klabu hizo.
    • 1. Real Madrid: 549.5m (518.9m)
    • 2. Man Utd: 518m (423.8m)
    • 3. Bayern Munich: 487.5m (431.2m)
    • 4. Barcelona: 484.6m (482.6m)
    • 5. Paris Saint Germain; 474.2m (398.8m)
    • 6. Manchester City: 414.4m (316.2m)
    • 7. Chelsea: 387.9m (303.4m)
    • 8. Arsenal: 359.3m (284.3)
    • 9. Liverpool: 305.9m (240.6m)
    • 10. Juventus: 279.4m (272.4m)
    Muhimu: kiasi cha pesa kwenye mabano ni mapato ya mwaka 2013-14
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Real Madrid Matajiri wa Kutupwa Kwa Miaka Kumi Mfululizo Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top