https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Tabora: Mwanamke awaua watoto wake wawili na kuwazika ndani


    Mume kamkimbia maisha akayaona magumu, akawalisha sumu na walivyokufa akaanza kuchimba hilo shimo, kuna jirani alimsikia akichimba lakini akampuuza. Siku ya pili akatangaza kupotelewa na watoto ila yule jirani akaliwekea mashaka na akatoa taarifa polisi kwamba kuna siku alimsikia muhusika kama alikuwa anachimba usiku na siku hiyo aliwaona watoto wake wote wakiingia ndani kwao kwani mara ya mwisho walikuwa kwake wakicheza mpaka giza lilipoingia ndio akawaamuru warudi nyumbani.



    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Tabora: Mwanamke awaua watoto wake wawili na kuwazika ndani Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top