WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAIPELEKA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS MTAANI
Meneja
Masoko wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ilala George Venanty (wa pili toka
kulia) akifafanua jambo kwa wafanyakazi wenzake wakati wa kutoa elimu ya
promosheni ya Jaymillions kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa
ujumla. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda
15544.
Muuza
magazeti wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Ally Hamis (kulia)
akifafanuliwa jambo na Meneja Biashara wa M-pesa Noel Mazoya kuhusiana
na promosheni ya JayMillions wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo
walipoenda mitaani kutoa elimu kwa wateja wa kampuni hiyo kuhusiana na
promosheni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno
Jay kwenda 15544. Baadhi
ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakipita katika mitaa ya Kariakoo
kutoa elimu ya promosheni ya Jaymillions kwa wateja wa kampuni hiyo na
wananchi kwa ujumla. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma
neno Jay kwenda 15544. Wakazi
wa Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam, Swalehe Hashim (kushoto) Juma
Abdallah (kulia) na Hassan Mng’ake (wa pili toka kulia) wakimsikiliza
Ofisa Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania, Prestin Lyatonga akielezea
jinsi ya kujua kama wameshinda kupitia promosheni ya JayMillions, wakati
wafanyakazi wa kampuni hiyo walipoenda mitaani kutoa elimu kwa wateja
wa kampuni hiyo kuhusiana na promosheni hiyo. Ili mteja kujua kama
ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Ofisa
Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania, Prestin Lyatonga (kushoto)
akimwelezea Sauda Mrisho mkazi wa Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam
jinsi ya kushiriki na kuwa mshindi kupitia promosheni ya JayMillions,
wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipoenda mitaani kutoa elimu kwa
wateja wa kampuni hiyo kuhusiana na promosheni hiyo. Ili mteja kujua
kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Mkazi
wa Mbagala Rangi Tatu Nassoro Manga (kulia) akimsikiliza kwa makini
Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Brigita
Stephen jinsi ya kushiriki na kuwa mshindi kupitia promosheni ya
JayMillions, wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipoenda mitaani kutoa
elimu kwa wateja wa kampuni hiyo kuhusiana na promosheni hiyo. Ili
mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Mfanyakazi
wa Vodacom Tanzania,Rosalinde Kinunda(kushoto)akimfafanulia jambo mkazi
wa Mbagala rangi tatu jijini Dar es Salaam Waziri Mangwati kuhusiana na
promosheni ya JayMillions wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipoenda
mitaani kutoa elimu kwa wateja wa kampuni hiyo kuhusiana na promosheni
hiyo, Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda
15544.