https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    HUU UCHAWI ULIPELEKWA MOROGORO ILI SIMBA IPIGWE NA POLISI, LAKINI...

    Kikundi Maaruru cha wanachama walioasi wa klabu ya Simba,Simba ukawa,jana kilikuja na matunguli katika uwanja wa jamhuri mkoani Mororgoro,Mnyama akishinda mabao 2-0 na hali hiyo ilisababisha Simba wenyewe wapigane wakipanga imani hizo za kishirikina.
    Matunguli hayo yaliokuwa yanatisha kuyatazama yalikamatwa kabla ya mechi na kuzua tafrani miongoni mwa wadau wa soka waliofurika uwanja wa jamhuri.huu ni muendelezo wa imani za kishirikina katika soka la Bongo.
    wadau wakiwa wamekamata matunguli
    Mzigo ulikuwa hatari sana wadau
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: HUU UCHAWI ULIPELEKWA MOROGORO ILI SIMBA IPIGWE NA POLISI, LAKINI... Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top