KATIKA PICHA; SIMBA ILIVYOIMALIZA POLISI MORO KWAO MOROGORO
MSHAMBULIAJI WA
SIMBA, ELIUS MAGURI (KUSHOTO) AKIPAMBANA NA BEKI WA POLISI KATIKA MECHI
YA LIGI KUU BARA KWENYE UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO, LEO. MAGURI
ALIFUNGA BAO LA PILI WAKATI SIMBA IKIIBUKA NA USHINDI HUO WA MABAO 2-0.