Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa lori hilo baada ya kukata kona ya ghafla
ambayo ilisaidia madhara zaidi yasitokee baada ya tanki kukata na kurudi
upande wa barabarani na kisha kusimama.
Hata hivyo tukio hilo ambalo limewaduwaza watu wengi limesababisha uharibifu mdogo katika gari ndogo inayoonekana hapa.
Dereva wa lori hilo ambaye jina lake halikufahamika mara moja
akijaribu kuliondoa gari hilo mara baada ya kurejea akitoka msikitini na
kukuta gari liko katikati ya barabra tofauti na sehemu alikokuwa ame
paki mwanzo.
Gari hilo lililokuwa na mafuta ya Petrol liliondoka katika eneo hilo
bila ya tatizo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.