Hii ndiyo mashine ya kusimamishia matiti na hapa ipo kutumika
Hii
sayansi na teknologia sasa inatupeleka pabaya. Hivi karibuni
wataalam toka china wameleta mashine maalumu ya kunyanyua matiti (yawe na muonekano wa saa 6) ambayo itawasaidia kina dada/mama wenye maziwa yaliyoanguka au kusinyaa kuwa na muonekano mzuri. Huduma hii imeshaanza kutolewa hapa nchini maeneo ya sinza.Hivi hawa wachina wanatutakia mema kweli?, Je wanaweka wazi madhara yanayoweza kuwapata baadae hao watakaonyanyua matiti yao?, je shughuli hii ina tija kwa watanzania?

Baadhi ya maoni ya watanzania juu ya mashine hii;
1. Hii ni hatari kama hatutakuwa makini,mishipa imepungua nguvu alafu unaisimamisha kwa nguvu'CHUNGA SANA.
2. Dada
zangu tuwe makini na hizi mashine zinazokuja,baada ya urembo
kinachofuata ni kansa.tujiulize mara mbili kabla ya kwenda huko
3.
Utakuta mdada mzima, anajua kuwa tayari 'malapulapu yameshatamalaki,
yeye anavaa suruali yake na kitop chake halafu bila sidiria huyooooo
anaingia mtaani..........yaani unamuangalia unajiuliza hivi huyu hana
mpenzi amwambie walau avae sidiria? Halafu utakuta anadai eti ana gundu
mbona hatokewi! nani akutokee wakati mtu akikuangalia tu 'hamu' yote
inaisha!
4.
Kutokujiamini tu, kam kupendwa utapendwa tu hata kam una malapa
kifuani.Na mbona mazoezi yanasaidia sana? Unaweza ukatengeneza mwili
vizuri tu kwa kufanya mazoezi

Titi la
mwanamke huyu likiwa limeharibika kutokana na kansa, ambapo madawa
mbalimbali na vifaa vya urembo wa wanawake husababisha ugonjwa huu.