https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Mbunge auawa kwa kupigwa risasi



     


    Mbunge mmoja ameuawa kwa kupigwa risisi kwenye mji mkuu wa kenya Nairobi.
    Ripoti za polisi zinasema kuwa mbunge huyo wa Kabete, eneo lililo nje kidogo ya mji wa Nairobi aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.

    Walinzi wake wawili,dereva pia nao wameuawa.
    Polisi wanasema kuwa watu waliokuwa na silaha walilifuata gari la mbunge huyo kutoka eneo la Westlands kabla ya kulimiminia rasasi ndani ya mji wa Nairobi.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Mbunge auawa kwa kupigwa risasi Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top