https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    SIMBA NA JKT RUVU LEO KATIKA PICHA

     Beki wa timu ya Simba,Hassan Isihaka (26) akiangalia namna ya kumzuia Mshambuliaji wa Timu ya JKT Ruvu,Jabir Aziz katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1.
     Nyanda wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiwania mpira wa juu na Mshambuliaji wa timu ya JKT Ruvu,Samuel Kamuntu katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1.
     Weeee.........
     Wachezaji wa Timu ya JKT Ruvu wakishangilia goli lao la kusawazisha dhidi ya Simba,katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,uliomalizika hivi pinde kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba imeshinda Bao 2-1.
    Kiungo wa JKT Ruvu akiruka daruga .
     Kocha wa Timu ya Simba akiwapa mawaidha wachezaji wake.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SIMBA NA JKT RUVU LEO KATIKA PICHA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top