Rais
Jakaya Kikwete,Naibu Rais wa Kenya,William Rutto na maafisawengine
wakiwa kwenye Jengo la mikutano wa kimataifa la Kenyatta International
Convention Center(KICC)Nairobi,Kenya wakati wa kuimba wimbo wa taifa la
Tanzania katika mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wanchi za Afrika
Mashariki uliofanyika leo.20/2/2015
Kutoka
kushoto ni mgeni mwalikwa,Rais wa Sudani Kusini,Salva Kiir,Rais wa
Burundi,Pierre Nkurunziza,Rais Jakaya Kikwete(Tanzania),Rais Uhuru
Kenyatta(Kenya)Rais Yoweri Museveni(Uganda)Rais Paul Kagame(Rwanda)na
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera
wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano kwenye mkutano wa kawaida wa 16
waWakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo.20/2/2015
Rais
Jakaya Kikwete(kushoto)akipokea bendera ya Afrika Mashariki(EAC)kutoka
kwa Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uenyekiti
wa EAC kwenye mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika
Mashariki uliofanyika leo.20/2/2015
PICHA NA IKULU