Kim k ambaye ni mke wa rapa Kanye West
ni miongoni mwa mastaa wenye vitabu ni hivi karibuni anatarajia kutoa
kitabu chake cha picha za SELFIE.
Kwenye kujibu maswali machache ya
mashabikki wake Kim K aliulizwa kama angepata nafasi ya kuchagua mtu
tofauti wa kupiga naye Selfie Kim alijibu
“My Dad, or Jesus, or Marilyn Monroe, siwezi kuamua ”

