Wafanyakazi
wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), wakishindana kuvuta kamba
wakati wa mazoezi waliofanya jijini Dar es Salaam jana kutokana na
utaratibu waliojiwekea kwakila baada ya miezi mitatu hufanya mazoezi
pamoja na wateja wao.
Mwalimu
wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu wa mazoezi hayo, FIAT, Ray
Mwamakula (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa Benki ya UBA (United
Bank for Africa), kufanya mazoezi Dar es Salaam jana.
Mwalimu
wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu wa mazoezi hayo, FIAT, Ray
Mwamakula (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa Benki ya UBA (United
Bank for Africa), kufanya mazoezi Dar es Salaam jana.