https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MILIPUKO YA MABOMU YALENGA MAKANISA NCHINI PAKISTAN


    Mabomu mawili yamelipuka yakilenga makanisa mawili yaliyokuwa yamejaa watu kwenye mji wa Lahore chini Pakistan wakati watu walipokuwa wakihudhuria misa ya jumapili.

    Polisi wanasema kuwa takriban watu 6 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.
    Mashambulizi hayo yanaoyoaminika kuwa ya kujitoa mhanga yalifanyika eneo lenye waumini wengi wa kikristo la Youhanabad
    Sehemu ya kundi la Taliban linalofahamika kama Jamatul Ahra limesema kuwa ndilo lililoendesha shambulizi hilo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MILIPUKO YA MABOMU YALENGA MAKANISA NCHINI PAKISTAN Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top