https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    EXCLUSIVEE............ 'Diamond Platnumz' akiwa kalazwa hospitali chumba cha upasuaji TMJ Hospital

    Video hii inamuonyesha mkali wa Bongo Fleva, Nasib
    Abdul aka Diamond Platnumz akiwa kalazwa chumba cha upasuaji huku akiwa kazungukwa na timu ya madakitari wakiwa wanashughulika na mguu wake.

    Bado Diamond hajaweka wazi nini kilicho msibu bali yeye ameandika "Thanks alot Doctor Dossaj and the whole TMJ crew......"


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: EXCLUSIVEE............ 'Diamond Platnumz' akiwa kalazwa hospitali chumba cha upasuaji TMJ Hospital Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top