https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    TAZAMA PICHA 5 ZA JUMBA LA KIFAHARI ANALOISHA SPIKA WA BUNGE UZUNGUNI DODOMA



    Hatimaye Spika wa Bunge la Tanzania pale Dodoma atakuwa na makazi rasmi baada ya ujenzi wa nyumba ya Spika kukamilika na makabidhiano kufanyika. Nyumba hiyo ambayo ipo maeneo ya

    Uzunguni nje kidogo ya Dodoma mjini imegharimu takribani Tshs 1.5 

    Billion na imejengwa na kampuni ya Pacha Building Construction Company.
     Hii inakuwa nyumba ya kwanza rasmi ya Spika kwani hapo awali hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika.
    Picture
    Mlango wa mbele
    Picture
    Upande wa nyuma wa jengo
    Picture
    Ngazi ndani ya jengo ambalo lina vyumba vinne vya kulala, sehemu ya mapumziko, sehemu ya chakula, maktaba na jiko (picha: Prosper Minja)
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: TAZAMA PICHA 5 ZA JUMBA LA KIFAHARI ANALOISHA SPIKA WA BUNGE UZUNGUNI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top