https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Ishu ya mtuhumiwa kutoroka Mahakamani safari hii ni Kenya !!

    DSC00660
    Mwezi December 2014 kulikuwa na story ya mtuhumiwa mmoja kuuawa kwa kupigwa risasi wakati
    alipokuwa akijaribu kutoroka Mahakama ya Kisutu kwa kuruka ukuta wa Mahakama hiyo, story kutoka Kenya leo inafanana na hii.. inahusu mtuhumiwa mmoja kufanya jaribio la kutoroka kutoka Mahakama ya Machakos.
    DSC00659
    Mtuhumiwa huyo alijaribu kutoroka lakini askari wakampiga risasi mkononi na mguuni akiwa juu ya ukuta, majeraha hayo yalimfanya ashindwe kukimbia, akakamatwa.
    DSC00661
    DSC00664
    Mahabusu huyo alifikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu baada ya kulewa na hukumu yake ilikuwa alipe faini ya Kshs 200, jaribio lake la kutoroka limefanya awe na kesi nyingine mpya kutokana na kufanya kosa hilo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Ishu ya mtuhumiwa kutoroka Mahakamani safari hii ni Kenya !! Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top