Miaka ya tisini bondia wa ngumi za uzito wa juu duniani Mike Tyson alikuwa akimiki Jumba la kifahari katika eneo la Southington, Ohio nchini Marekani.
Muonekano wa jumba hilo pamoja na
kujengwa na kunakshiwa kifahari na
kutumia fedha nyingi,kwa sasa
limekuwa likionekana kama gofu.
Tyson alilazimika kuliuza jumba hilo
mwaka 1999 kwa kitita cha pauni milioni 1.3 baada ya kukumbwa na kashfa
ya ubakaji na sasa litabadilishwa na kuwa kanisa.