Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Misri, Ebrahim Mehlep,
wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Sharm El- Sheikh, jana kwa
ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa kuhusu maendeleo na Uchumi wa
nchini Misri. Picha na OMR
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Item Reviewed: MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI SHARM EL SHEIKH KUHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAENDELE NA UCHUMI WA NCHI YA MISRI
Rating: 5
Reviewed By: Unknown

.jpg)
.jpg)
.jpg)
