| Pirika pirika zilizozoeleka katika kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi hazikuonekana katika kituo hicho. |
| Maduka yaliyopo katika jengo la Halmashauri ya manispaa ya Moshi lenye ghorofa mbili pia hali ilikuwa hivi. |
| Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa baadhi ya maduka yaliyoko Double road. |
| Maduka yaliyoko kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi yakiwa yamefungwa mara baada ya wafanyabiashara kuamua kufanya mgomo. |
| Baadhi ya maduka katika jengo ala Neneu Complex yakiwa yamefungwa hakuna huduma iliyokuwa ikitolewa. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |

