Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimraribisha Rais Paul Kagame wa Rwanda kwenye
ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano
wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference)
ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais
Pierre Nkurunzinza kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central
Corridor Conference) ulioanza jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiwa kwenye ukumbi
wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa
Wakuu wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza
jana na kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika picha ya
pamoja na mawaziri wa Tanzania, kenya, DRC na Uganda kwenye ukumbi wa
Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam katika Mkutano wa Wakuu
wa Nchi za Kanda ya Kati (Central Corridor Conference) ulioanza jana na
kumalizika leo Machi 26, 2015.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakisiliza maelezo
toka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished Bade
walipotembelea kituo cha kulipia ushuru wa aina zote chini ya paa moja
katika bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakisiliza maelezo
toka kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Bw. Rished Bade
walipotembelea kituo cha kulipia ushuru wa aina zote chini ya paa moja
katika bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakiteta jambo
walipotembelea bandari ya Dar es salaam leo Machi 26, 2015.
Rais
Paul Kagame wa Rwanda akipeperusha bendera kuashiria kuzinduliwa kwa
safari za treni za mizigo kuelekea Rwanda katika stesheni ya reli ya Dar
es salaam akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete leo Machi
26, 2015.PICHA NA IKULU














