https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Mh.Zitto Kabwe alalamikia hatua za serikali zakutowatendea wakazi wa kilwa haki ili kunufaika na gesi.

    Siku moja baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda kusema kuwa Zitto Kabwe ni mbunge halali wa jimbo la Kigoma Kaskazini kutokana na ofisi yake kutokuwa na taarifa rasmi ya kutenguliwa ubunge wake, mbunge huyo leo amehudhuria mkutano wa bunge unaoendelea mkoani Ddoma.
    Katika siku hiyo ya kwanza ya kuhudhuria bungeni hapo mara baada ya chama cha Demokrasia na Maendeleo -CHADEMA ambacho alikuwa mbunge kupitia chama hicho kumfukuza uanachama Mhe.Zitto Kabwe amelalamikia hatua ya Serikali kutowatendea haki wakazi wa Kilwa kwa kutowanufaisha na gesi inayopatikana eneo hilo.

    SOMA ZIADI
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Mh.Zitto Kabwe alalamikia hatua za serikali zakutowatendea wakazi wa kilwa haki ili kunufaika na gesi. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top