MZEE WA UPAKO ACHAFUA HALI YA HEWA " WASIOENDA KANISANI NI MAFALA NA MABWEGE
Nikauli
aliyoitoa jana Ijumapili Machi 08,2015 kupitia kituo cha Televisheni
cha Channel Ten wakati akiongoza ibada huku akishangiliwa na mamia ya
waumini wake.. Kati ya mambo yaliyostaajabisha wadau wengi ni lugha ya
matusi iliyotolewa na kiongozi huyo mkubwa wa dini ya kikristo.