https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    NAIBU INSPEKTA JENERALI WA POLISI AFUNGA MAFUNZO YA WAKAGUZIWASAIDIZI WA JESHI LA POLISI CCP-MOSHI


    Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,DIGP, Abdulrahmani Kaniki akikagua gwaride la wakaguzi wasaidizi wa polisi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi.
    Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi,DIGP, Abdulrahmani Kaniki akimvisha cheo wp 2704 ssgt Batuli kuwa mkaguzi msaidizi wa jeshila polisi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi.
    Wahitimu wa kozi ya mkwaguzi msaidizi wa jeshi la polisi wakipita kutoa heshima kwa mgeni rasmi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi.
    Wahitimu wa kozi ya mkwaguzi msaidizi wa jeshi la polisi wakiimba kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa sherehe ya kufunga mafunzo ya maofisa hao katika chuo cha polisi Moshi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NAIBU INSPEKTA JENERALI WA POLISI AFUNGA MAFUNZO YA WAKAGUZIWASAIDIZI WA JESHI LA POLISI CCP-MOSHI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top