Kuanza week hii, Lulu ameianza kwa maneno tofauti na ilivyo tarajiwa akiwa kaambatanisha picha ya Justin Bieber. Lulu ameandika haya "Ts Monday aaaaayyyyt!????������ #MCM Uliamua kuni follow kwa Hiari Yako....vumilia Na Post Zangu Tafadhali ��Ahsante" huku akiwa kaambatanisha na picha hapo juu inayo onyesha mgongo wa Bieber.
Picha: Hiki ndicho alicho kisema Diana Elizabeth Michael 'Lulu' akiambatanisha na picha ya Justin Bieber