PICHA kutoka Mwanza ambapo imetokea ajali ya kuanguka kwa ukuta wa ghorofa..
Askari wa kikosi cha Zimamoto na Polisi
na mgambo wa Jiji pamoja na Kikosi cha Msalaba mwekundu walifika eneo la
ajali hiyo na kuanza kufanya jitihada za kuwaokoa majeruhi hao.

