Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na mwakilishi wa VSO Tanzania Jean Van Wetter wakati
alipowasili katika viwanja vya Ukimbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini
Unguja leo katika hafla ya sherehe ya kukabidhi Vihori kwa wakulima wa
Mwani,[Picha na Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana,Wanawake na
Watoto Bi Zainab Omar Mohamed (wa pili kushoto) na Katibu wa Wizara hiyo
Bi Asha Ali Abdalla (kulia)wakatialipowasili katika viwanja vya Ukumbi
wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo katika hafla ya sherehe ya
kukabidhi Vihori kwa wakulima wa Mwani,[Picha na Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiangalia bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa kwa kutumia zao la mwani
na kikundi cha Ulezi ni Kazi cha shehia ya Fujoni Jimbo la Kitope)
wakati wa sherehe za kukabidhi Vihori kwa wakulima wa mwani hafla
iliyofanyika leo Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.[Picha na
Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimkabidhi Kihori Bw.Kombo Salim Hamadi mkulima wa mwani wa Tumbe
Magharibi Kaskazini Pemba wakati wa sherehe za kukabidhi vihori kwa
wakulima wa mwani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]Baadhi
ya Viongozi,Wananchi na wakulima wa mwani wakiwa katikasherehe za
kukabidhi vihori kwa wakulima wa mwani zilizofanyika leo katika ukumbi
wa Salama Bwawani Mjini Unguja ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,[Picha na
Ikulu.]Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake kwa wananchi wakati sherehe za kukabidhi Vihori kwa
wakulima wa mwani katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja
leo,[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimkabidhi Kihori Bi.Zainab Daudi Haji mkulima wa mwani wa Uroa Wilya
ya Kati Mkoa wa Kusini wakati wa sherehe za kukabidhi vihori kwa
wakulima wa mwani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]