https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

.

.

.
  • Latest News

    .

    RAIS KIKWETE AFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA YA MVUA YA MAWE KAHAMA LEO

    Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuwafariji waathirika wa Mvua ya Mawe,iliyonyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga,leo Machi 12,2015.
    Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kuwafariji waathirika wa Mvua ya Mawe,iliyonyesha hivi karibuni katika Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga,leo Machi 12,2015.
    Maelefu ya Wakazi wa Kahama wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa akiwahutubia mara baada ya kutembelea na kujionea athari ya Mvua ya Mawe kwa wananchi wa Kijiji cha Mwakata,Wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga,leo Machi 12,2015.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: RAIS KIKWETE AFARIJI WALIOPATWA NA MAAFA YA MVUA YA MAWE KAHAMA LEO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top