https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Rais Kikwete aapisha Tume ya Utumishi wa Umma


    unnamed
     Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (Wasita kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma muda mfupi baada ya Rais kuwaapisha ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.kutoka kjushoto ni Bibi Salome Mollel(Kamishna),Bibi Evelyne Itanisa(Kamishna),Bw. Mgeni Mwalimu Ally(Kamishna),Mwenyekiti wa Tume Dkt.Stephen James Bwana, Bwana George Yambesi(Kamishna),Bwana Yahya Fadhili Mbila (Kamishna) na Bibi Adieu Nyondo (Kamishna).(picha na Freddy Maro)
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Rais Kikwete aapisha Tume ya Utumishi wa Umma Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top