Mwenyekiti
wa Baraza la Wafanyakazi ambaye ni Katibu wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa
akitoa hotuba fupi katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi TUMESHERIA.
Mwenyekiti wa TUGHE tawi la TUMESHERIA Bw. Fredy Kandonga akizungumza katika kikao cha Baraza.
Mwenyekiti wa Tume Mh. Jaji Aloysius Mujulizi akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi.
Katibu wa Kikoa cha Baraza Bi. Marlin Komba akitoa ufafanuzi wakati wa kikao cha Baraza.
Wajumbe wa Baraza wakisikiliza hotuba ya ufunguzi wa kikao cha Baraza.
Wajumbe
wa Baraza pamoja na mgeni rasmi Mwenyekiti wa Tume wakiimba wimbo wa
Mshikamano katika kikao cha Baraza la wafanyakazi TUMESHERIA (Picha zote
na Munir Shemweta)

