Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori
kushoto akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya
uzinduzi wa promosheni ya 'Shinda na Selcom' inayomwezesha mtumiaji wa
huduma za kampuni hiyo kujishindia Tsh 100,000 ambapo washindi kumi
watajishindia kitita hicho kila wiki na shindano hilo litadumu hadi mei
31 kulia ni Meneja Miradi wa Kampuni hiyo Gallus Runyeta
Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa Selcom Tanzania, Juma Mgori kushoto akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi
wa promosheni ya 'Shinda na Selcom' inayomwezesha mtumiaji wa huduma
za kampuni hiyo kujishindia Tsh 100,000 ambapo washindi kumi
watajishindia kitita hicho kila wiki na shindano hilo litadumu hadi mei
31 katikati ni Meneja Miradi wa Kampuni hiyo Gallus Runyeta na Meneja wa
huduma za Ziada 'VAS', Chia Ngahyoma
Meneja Miradi wa Kampuni ya Selcom Gallus Runyeta kushoto
akimwelekeza Meneja ukuzaji biashara na Masoko wa kampuni hiyo, Juma
Mgori jinsi shindano linavyo endelea katika mtandao
WASHINDI KUMI KILA WIKI