https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    BREAK:Stage yatoboko wakati wanafunzi wakiimbie na ku enjoy huko marekani


    EmergencyNi yale matukio ambayo huwa hayajitokezi sana, imetokea Indiana Marekani ambako Wanafunzi walikua kwenye tamasha la muziki wa Rock shuleni, wachache ndio walikua wanatumbuiza lakini muda mfupi baadae baada ya muziki kunoga wengine wakaja kucheza nao kwenye stage.

    Kilichofata ni stage kuzama baada ya kutoboka na kufanya Wanafunzi zaidi ya 12 kujeruhiwa ambapo hii video hapa chini ni ya mtu aliyekua anarekodi tukio zima na inaonyesha live jinsi ilivyotokea mpaka ikazama na Wanafunzi hao.


    stage 3
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BREAK:Stage yatoboko wakati wanafunzi wakiimbie na ku enjoy huko marekani Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top