Ni
furaha ya kila mmoja mwenye love na nchi yake ataposikia list ya sehemu
zinazovutia imetoka alafu nchi yake imo ndani….. wiki kadhaa zilizopita
kulikua na list ya sehemu za
kihistoria ambazo hupaswi kuacha kuzitembelea duniani na Zanzibar haikuwepo wala Tanzania.
Good news ya leo ni kwamba Tanzania imo kwenye list ya hizi sehemu zenye mvuto Afrika kwa upande wa Lodges na Hotels kwenye mbuga mbalimbali ambapo kwa mujibu wa CNN, list hii ilipangwa na timu ya watu 11 wakiwemo wataalamu wa mazingira waliotembea kwa upana Afrika.
Walipoulizwa ni sehemu gani zaidi zilizowavutia kwa kutengenezwa au kuzungukwa na mazingira mazuri na yenye uasili wakazitaja hizi kwenye list.