Wazee wa
mtonyo ambao waliwai kutoa picha yenye price tag ya wachezaji wakubwa
kabisa na kusema kwamba wana mpango wa kuwaleta wote kwenye club ya
Manchester city lakini haikua hivyo.Hivi
sasa wametenga dau la £30 million ili kujaribu kumpata star wa Arsenal
mwenye miaka 23 Jack Wilshere. Gazeti la The Mirror limeripoti kwamba
Manchester city wana plan hiyo kwa sasa japokua kwenye uhalisia Arsene
Wenger hawezi kumruhusu mchezaji huyo kusepa.Hivi
sasa Wilshere ana mkataba na gunners hadi June 2018 ikimaanisha kwamba
hayupo kwenye pressure yoyote ya kuhama hiyo club. The Mirror wanasema
interest ya Man city kumleta Jack Wilshere Etihad inaweza kuwashawishi
Arsenal kuingia kwenye mazungumzo hayo.
Mashabiki
wa Arsenal wana wasiwasi kwasababu historia inaweza kujirudia kama
ilivyotokea kwa Emmanuel Adebayor, Kolo Toure, Gael Clichy, Samir Nasri
na Bacary Sagna ambao waliwai kuhama kutoka London kwenye Manchester.
Wilshere amekua majeruhi kwa muda mrefu na kumfanya atokee mara 9 tu kwenye msimu huu.